KEVIN CASH AGAWA LITA ZA KUTOSHA ZA MAFUTA KWA BAJAJI ZAIDI YA 50
Mwana Mziki wa kizazi kipya KEVIN CASH anaye tamba kwa ngoma yake mpya ya FIRE BURN atikisha JIJI LA MWANZA kwa kugawa lita za mafuta kwa Bajaji zaidi ya 50 .Unaambiwa Jiji lilisimama kwa muda baada ya Matukio kadhaa yaliyo kuwa yakiendelea . Mwanamziki KEVIN CASH ni mzliwa wa Mwanza , matukio yote aliyo yafanya weekend hii kwa mashabiki wa Mwanza
Author
SNL ADMIN
Leave a comment
Your email address will not be published. Required fields are marked *