Preloader

Click Here to share the website into Different Platforms

Share me

Office Address

10913 Dar es Salaaam Tanzania

Phone Number

+255718573384

Email Address

contact@sheddynewlook.org
info@sheddynewlook.org

HEARTFUL GIVING FOUNDATION ANNIVERSARY

HEARTFUL GIVING FOUNDATION ANNIVERSARY

Funga mwaka na Heartful Giving Foundation

Heartful Giving Foundation - HGF  

Ni Taasisi inayo jihusisha na kusaidia jamii , kwenye maeneo yafuatayo ; 

1. Kusaidia Elimu

2. Kutoa Huduma za Afya

3. Kusaidia ustawi wa jamii

Ni wakati mwingine tena wa kuungana na Taasisi ya Heartful Giving Foundation kwa kusherehekea mafanikio yaliyo patikana kwenye kipindi chote tangu Taasisi kuanzishwa pamoja na kuweka sawa mapungufu yote yaliyo onekana kipindi hicho chote

 

Heartful Giving Foundation ina kukaribisha ewe mwanachama pamoka na mdau kuungana nasi Anniversary itayo enda sambamba na shughuri ya kutembelea kituo cha wenye uhitaji mbalimbali .

Kwa mawasiliano zaidi piga simu no . +255 695 596 210

Share:
SNL ADMIN
Author

SNL ADMIN

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Request A Call Back

Ever find yourself staring at your computer screen a good consulting slogan to come to mind? Oftentimes.

shape