BLANCE MATERIAL TISHIO KWA WASANII WENGINE
Blance Material , anaendeleza dozi dhidi ya wasanii wengine

BLANCE MATERIAL AENDELEZA DOZI DHIDI YA WASANII WENGINE
Superstar BLANCE MATERIAL anaendelea kutikisa tasnia ya mziki wa kizazi kipya . Kupitia mahojiano aliyo yafanya kupitia kipindi cha Radio , kipindi kinachoitwa THE SPLASH ndani ya http://radio.sheddysnewlook.org Blance Material amesema kuwa tangu aanze kufanya kazi ya sanaa ya mziki amekuwa na muendelezo mzuri wa utoaji wa kazi , kitendo ambacho kinawafanya wasanii wengine kumuogopa.
Mapema wiki hii BLANCE MATERIAL ameachia kazi mpya inayo fahamika kwa jina la ANANIPENDA , unaweza kuitazama kupitia YouTube kwa kubonyeza LINK https://youtu.be/xPvL5KDKX2E?si=_z0_LPQVPhI6fIPE

SNL ADMIN
Leave a comment
Your email address will not be published. Required fields are marked *


